BODI YA KOROSHO TANZANIA (CBT) YAWATAKA WAKULIMA KUENDELEA KUDUMISHA UBORA WA KOROSHO.
Wakati minada ya korosho ikiwa inaendelea mkurugenzi wa bodi ya korosho Tanzania ndg Francis Alfred Alfred amewataka wakulima wa korosho nchini kuendelea kudumisha ubora wa...