Category : Habari Zinazojiri
Mh DUNSTAN KYOBA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA BODI YA KOROSHO.
Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022. Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa...
MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGA MAFUNZO YA UDHIBTI UBORA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbasi amefunga mafunzo ya siku tano ya udhibiti ubora wa korosho kwa washiriki 120 yaliyoratibiwa na Bodi ya...
MIKAKATI YA UONGEZAJI THAMANI NA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO TANZANIA
Kikao cha wadau wa zao la korosho kilichohusisha wataalamu wa kilimo (RAAs,DAICOs),warajisi na Taasisi mbalimbali na Mameneja wa Vya vikuu vya ushirika kutoka Mikoa Mitano(Lindi,Mtwara,Ruvuma,Tanga...
MAPOKEZI YA VIWATILIFU MKOANI MTWARA
Viuatilifu vya zao la Korosho vimeanza kupokelewa mkoani Mtwara, ambapo kampuni ya Bens agro star imeleta lita 100,000 na Suba agro lita 187,000 kwa ajili...
KIKAO CHA NNE CHA BODI YA WAKURUGENZI BODI YA KOROSHO
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Korosho Tanzania Brig. General Mstaafu ALOYCE MWANJILE(NDC) akiongoza kikao cha nne cha Bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika tarehe 22...