WAKULIMA WAISHUKURU SERIKALI MFUMO WA TMX
Baadhi ya wakulima wa zao la Korosho wilayani Newala mkoani Mtwara wameishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utaratibu mzuri wa kuuza zao la korosho kupitia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), mfumo ambao husimamia mnada kijiditali kwa lengo la kuwaongezea…
DKT SERERA AZINDUA MRADI WA GROWING TOGETHER
DKT SERERA AZINDUA MRADI WA GROWING TOGETHER
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Ushirika na Umwagiliaji) Dkt. Suleiman Serera, amezindua Mradi wa Growing Together unaofadhiliwa na Serikali...
KATIBU MKUU MWELI AKUTANA NA IFAD, AFDP
KATIBU MKUU MWELI AKUTANA NA IFAD, AFDP
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo...
KATIBU MKUU MWELI AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA
KATIBU MKUU MWELI AKUTANA NA BALOZI WA ITALIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Italia hapa nchini, Mhe. Giuseppe...
SHILINGI BILIONI 743.57 /= ZAPATIKANA MAUZO YA KOROSHO MSIMU WA 2024/2025
SHILINGI BILIONI 743.57 /= ZAPATIKANA MAUZO YA KOROSHO MSIMU WA 2024/2025
Wakati minada ya korosho katika msimu wa 2024/2025 ikiendelea, Mkurugezi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg. Francis Alfred alipokuwa...
CIAP KUTOKA BURUNDI WAKIWA ZIARANI NCHINI TANZANIA
CIAP KUTOKA BURUNDI WAKIWA ZIARANI NCHINI TANZANIA
Chama cha Ushirika CIAP kutoka nchini Burundi kimefanya ziara ya mafunzo katika ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania Makao Makuu...
SEKTA YA KILIMO KUZIDI KUIMARIKA
SEKTA YA KILIMO KUZIDI KUIMARIKA
Dk. Hussein M. Omar, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo ameshiriki katika kikao kazi kati ya Tanzania na Ujumbe wa...
RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI MIKUTANO MUHIMU KUHUSU KILIMO-MAREKANI
RAIS DKT SAMIA ASHIRIKI MIKUTANO MUHIMU KUHUSU KILIMO-MAREKANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki katika mijadala muhimu ya kimataifa kuhusu kilimo...
TANI 180,342 ZA KOROSHO ZAUZWA NDANI YA WIKI TATU MSIMU WA 2024/2025.
TANI 180,342 ZA KOROSHO ZAUZWA NDANI YA WIKI TATU MSIMU WA 2024/2025.
Imeelezwa kuwa jumla ya Tani 180,342 za korosho zimeuzwa katika msimu wa 2024/2025 ndani ya wiki tatu za minada ikilinganishwa...
KOROSHO MARATHON YAFIKA KILELENI KWA SHANGWE
KOROSHO MARATHON YAFIKA KILELENI KWA SHANGWE
Mbio za Korosho Marathon ambazo zimeongozwa na naibu waziri wa utamaduni sanaa na michezo Mhe. Hamis Mwinjuma hatimaye zimefika kileleni...