WAZIRI WA KILIMO MHE.HUSSEIN BASHE (MB) ASISITIZA ZOEZI LA USAJILI WA WAKULIMA WA KOROSHO NCHINI
Akizungumza katika kikao cha tathmini kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 24 April 2023, Mhe. Bashe amesisitiza usajili wa Wakulima kupitia kanzi data ya Wakulima Nchi nzima...