TAARIFA FUPI YA MINADA YA KOROSHO ILIYOFANYIKA TAREHE 20 OKTOBA. 2023 A.TANECU LTD KATIKA UKUMBI WA TANDAHIMBA DC
Korosho iliyoletwa kwa Mnada – kilo 7,752,741 Ubora wa Korosho inayoletwa kwa Mnada SOT 52-52.6(Daraja la Kawaida) Mahitaji ya Korosho kulingana na wanunuzi yanatoa zabuni...