UJUMBE WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WATEMBELEA CBT,...
Ujumbe kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, agosti 14, 2026 umetembelea Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), ambapo...
Ujumbe kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, agosti 14, 2026 umetembelea Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), ambapo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Deo Mwanyika,...
MorogoroBanda la Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Morogoro limeendelea kuwa kitovu cha...
LindiMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Brig. Gen. (Mstaafu) Aloyce D. Mwanjile, ndc,...
Wadau wa tasnia ya korosho kutoka Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), wabanguaji wa korosho, TANECU, MAMCU, Chama cha...
Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa sekta ya Kilimo na Mashamba TANZANIA PLANTATION AND AGRICULTURAL WORKERS UNION (TPAWU)...
Bodi ya korosho Tanzania ni Taasisi ya Umma iliyo chini ya Wizara ya Kilimo iliyoundwa chini ya sheria ya Tasnia ya korosho Sura ya 203 Toleo la Mwaka 2023, inayoipa jukumu la usimamizi wa Tasnia ya korosho kwenye mnyororo mzima wa thamani kuanzia kwa mkulima hadi kwa mlaji wa mwisho.
Huduma rasmi zinazotolewa kwa wananchi, wadau na washirika wa maendeleo.
Hutolewa kwa kampuni, taasisi na wakulima wa korosho, Mkulima anatakiwa kuwa na ;Uthibisho wa umiliki wa ardhiKitambulisho cha NIDA, Kitambulisho...
Leseni zinazotolewa ni pamoja na;Leseni ya ubanguaji koroshoLeseni ya ununuzi wa Korosho karangaLeseni ya ununuzi wa Korosho ghafi kwa wabanguaji...
Shughuli za Ukaguzi nia pamoja na;Ukaguzi wa ubora wa korosho ghafi (Raw Cashew Nuts)Ukaguzi wa maghala ya koroshoUkaguzi wa viwanda...
Vibali vinavyotolewa ni pamoja na;Kibali cha kusafirisha Korosho kwenda nje ya nchiKibali cha kusafirisha Korosho ndani ya nchi (PDN)
Mafunzo ya uongezaji wa thamani wa zao la korosho Huduma hii hutolewa kwa wasindikaji wa korosho ambapo Mteja anatakiwa kuwa na...
Cheti cha uhakiki ubora wa korosho ghafiHutolewa kwa kampuni iliyopata leseni ya kuendesha ghala la korosho kwa msimu husika.Hutolewa katika...
Pata taarifa rasmi, matukio na matangazo muhimu kutoka taasisi.
Angalia miradi inayoendelea, iliyokamilika na mipango ya maendeleo ya taasisi.