Matukio
BASHE: BENKI YA USHIRIKA TANZANIA (COOP BANK TANZANIA) KUANZA NA MTAJI WA BILLIONI 55
57
Benki ya Ushirika Tanzania itaanza na Mtaji wa Shilingi Billioni 55 ikiwa ni Benki ya kwanza nchini inayomilikiwa kwa asilimia 51 na vyama vya ushirika pamoja na wanachama wake na asilimia 49 zinamilikiwa na wadau wengine.
Amesema hayo Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), wakati akizindua tovoti ya usajili…
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BENKI YA USHIRIKA NCHINI
RAIS DKT. SAMIA KUZINDUA BENKI YA USHIRIKA NCHINI
44
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Benki ya Ushirika (Coop Bank Tanzania), lengo likiwa ni kufufua benki za kijamii...
MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KUENDELEA KULETA TIJA NA MANUFAA KWA WAKULIMA
MFUMO WA STAKABADHI GHALANI KUENDELEA KULETA TIJA NA MANUFAA KWA WAKULIMA
49
Imeelezwa kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani, unaotumiwa na wakulima wa zao la korosho, mbaazi na ufuta nchini ni wenye tija...
UHUISHAJI TAARIFA ZA WAKULIMA WA KOROSHO WAENDELEA KWA MAFANIKIO KATIKA KATA YA NYANGAO MKOANI LINDI
UHUISHAJI TAARIFA ZA WAKULIMA WA KOROSHO WAENDELEA KWA MAFANIKIO KATIKA KATA YA...
120
Tanzania ni mojawapo ya nchi zinazoongoza kwa uzalishaji wa zao la korosho duniani, ikishika nafasi ya pili katika bara la...
BODI YA WAKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA YAKUTANA NA MENEJIMENTI KATIKA KIKAO CHAKE CHA KWANZA
BODI YA WAKURUGENZI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA YAKUTANA NA MENEJIMENTI KATIKA...
102
Bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania iliyoteuliwa hivi karibuni ikiongozwa na Mwenyekiti Brig. Gen. (Mstaafu) Aloyce D. Mwanjile...
RC LINDI AZINDUA UGAWAJI PIKIPIKI NA VISHIKWAMBI KWA MAAFISA KILIMO WA BBT-KOROSHO
RC LINDI AZINDUA UGAWAJI PIKIPIKI NA VISHIKWAMBI KWA MAAFISA KILIMO WA BBT-KOROSHO
116
Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack amezindua ugawaji wa vitendea kazi ambavyo ni pikipiki 152 na vishikwambi 152...
UHUISHAJI TAARIFA ZA WAKULIMA WA KOROSHO WAENDELEA KWA UFANISI MKUBWA MSIMU WA 2024/2025
UHUISHAJI TAARIFA ZA WAKULIMA WA KOROSHO WAENDELEA KWA UFANISI MKUBWA MSIMU WA...
131
Zoezi la uhuishaji wa taarifa za wakulima wa zao la korosho linaendelea kwa mafanikio makubwa katika ofisi za vijiji yalipo...
MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA AMEZINDUA UGAWAJI PIKIPIKI NA VISHIKWAMBI KWA MAAFISA KILIMO WA BBT-KOROSHO
MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA AMEZINDUA UGAWAJI PIKIPIKI NA VISHIKWAMBI KWA MAAFISA...
163
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe. Kanali Michael Mtenjele, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick...
MELI YA KWANZA KATI YA NNE ZINAZOTARAJIA KUBEBA TANI 40,000 ZA PEMBEJEO ZA ZAO LA KOROSHO YAWASILI BANDARI YA MTWARA
MELI YA KWANZA KATI YA NNE ZINAZOTARAJIA KUBEBA TANI 40,000 ZA PEMBEJEO...
121
Meli iliyobeba zaidi ya tani 9202 kati ya tani zaidi ya 40,000 za salfa zinazotarajiwa kuwafikia wakulima wa korosho katika...
WAKULIMA WA KOROSHO WAKUMBUSHWA KUHUISHA TAARIFA ZA MASHAMBA YAO.
WAKULIMA WA KOROSHO WAKUMBUSHWA KUHUISHA TAARIFA ZA MASHAMBA YAO.
109
Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani machi 8, 2025 wakulima wa zao la korosho wamekumbushwa kwenda kuhuisha taarifa za mashamba...