KANALI SAWALA: MAFUNZO YA UMAHIRI KWENYE MNYORORO WA THAMANI WA ZAO LA KOROSHO KULETA TIJA KWA WASHIRIKI
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amesema kuwa ni matumaini yake kuwa mafunzo ya Umahiri Kwenye Mnyororo wa Thamani wa zao la korosho...