Category : Kitelezi
BODI YA WAKURUGENZI CBT YAITAKA MENEJIMENTI KUSIMAMIA VEMA TASNIA YA KOROSHO
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania Brig. Gen. mstaafu Aloyce D. Mwanjile (ndc) ameitaka Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuendelea kuwaunga...
WATUMISHI CBT WAKUMBUSHWA KUJAZA MAJUKUMU YAO KATIKA PEPMIS
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) Ndg. Francis Alfred amewataka watumisi wote wa taasisi hiyo kufanya kazi kwa bidii ikiwa ni pamoja na...
MAAFISA KILIMO WATAKIWA KUENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU UZALISHAJI WA KOROSHO
Mkuu wa mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack ametoa wito kwa maafisa kilimo kuendelea kutoa elimu kwa wakulima wa zao la korosho ili kufikia lengo...
KANALI SAWALA: MAFUNZO YA UMAHIRI KWENYE MNYORORO WA THAMANI WA ZAO LA KOROSHO KULETA TIJA KWA WASHIRIKI
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amesema kuwa ni matumaini yake kuwa mafunzo ya Umahiri Kwenye Mnyororo wa Thamani wa zao la korosho...
DKT. KIRUSWA ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO CBT NA KUPONGEZA JUHUDI ZA RAIS DKT. SAMIA
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wakulima wa korosho ikiwa...
AFISA KILIMO CBT AKITOA ELIMU KATIKA CHOMBO CHA HABARI LINDI
Afisa Kilimo kutoka Bodi ya Korosho Tanzania ndg. Mohamed Kaid akiwa katika moja ya kituo cha redio mkoani Lindi akitoa elimu kuhusu kanzidata, usambazaji, ugawaji...
MADIWANI WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA WATEMBELEA MRADI WA KONGANI LA VIWANDA MARANJE
Madiwani wa Halmashauri ya mji Nanyamba wameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa Kongani la viwanda vya kubangua korosho lililopo katika Kijiji cha...
WAKULIMA MNOLELA: TANGU TUANZE KUPOKEA PEMBEJEO ZA RUZUKU MAMBO YANAKWENDA VIZURI SANA
Wakati zoezi la ugawaji pembejeo za ruzuku katika zao la korosho likiendelea katika mikoa mbalimbali inayolima zao hilo nchini, wakulima wa kata ya Mnolela mkoani...