Bodi ya Korosho Tanzania (Bodi) ni taasisi ya Umma iliyopewa jukumu la kudhibitina kusimamia tasnia ya korosho nchini kuanzia uzalishaji, uongezaji wa thamanipamoja na masoko....
Bodi ya Wakurugenzi katika kikao chake cha robo ya tatu ya mwaka 2023/2024 ili kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa na Menejimenti imetoa maelekezo...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameongoza Mkutano wa Tathmini ya Uzalishaji, Ubanguaji na Masoko ya zao la Korosho kwa msimu wa Mwaka 2023/2024...
Wakulima wa Korosho nchini wataendelea kunufaika na pembejeo za ruzuku ya serikali kwaajili ya kuwakwamua na kuwaendeleza kiuchumi, hayo yamesemwa tarehe 18 Aprili 2024 katika...
Bodi ya Korosho Tanzania imewaonya baadhi ya wanunuzi wa zao la Korosho wanaonunua baada ya msimu kufungwa na kutaka kuzitorosha nchini kinyume cha sheria. Hadi...