Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022. Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa...
Kikao cha wadau wa zao la korosho kilichohusisha wataalamu wa kilimo (RAAs,DAICOs),warajisi na Taasisi mbalimbali na Mameneja wa Vya vikuu vya ushirika kutoka Mikoa Mitano(Lindi,Mtwara,Ruvuma,Tanga...