Author : Peter Luambano
MKUTANO MKUU WA WADAU WA TASNIA YA KOROSHO 2024
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amefungua Mkutano Mkuu wa Wadau wa Tasnia ya Korosho 2024 leo tarehe 22 Agosti 2024 na kuwatia moyo...
FURSA ZA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA
Bodi ya Korosho Tanzania (Bodi) ni taasisi ya Umma iliyopewa jukumu la kudhibitina kusimamia tasnia ya korosho nchini kuanzia uzalishaji, uongezaji wa thamanipamoja na masoko....
Kikao cha 12 cha Bodi ya Wakurugenzi
Bodi ya Wakurugenzi katika kikao chake cha robo ya tatu ya mwaka 2023/2024 ili kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa na Menejimenti imetoa maelekezo...
KIKAO CHA TATHMINI YA UZALISHAJI, MASOKO NA UBANGUAJI WA KOROSHO MSIMU WA 2023/2024
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameongoza Mkutano wa Tathmini ya Uzalishaji, Ubanguaji na Masoko ya zao la Korosho kwa msimu wa Mwaka 2023/2024...