Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amefungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho wa siku tatu hapa nchini
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amefungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho 2023 leo tarehe 11 Oktoba 2023 katika Ukumbi wa Mikutano ya...