RUZIKA N. MUHETO mtaalam wa mazingira na hewa ya ukaa akiwasilisha mada yenye kuelezea umuhimu wa zao la Korosho katika utunzaji mazingira lakini pia ni...
Korosho iliyoletwa kwa Mnada – kilo 7,752,741 Ubora wa Korosho inayoletwa kwa Mnada SOT 52-52.6(Daraja la Kawaida) Mahitaji ya Korosho kulingana na wanunuzi yanatoa zabuni...
Korosho iliyoletwa kwa Mnada – 1,889,047kg Ubora wa Korosho inayoletwa kwa Mnada SOT 49.3-50.4(Daraja la Kawaida- 1,889,047kg) Mahitaji ya Korosho kulingana na wanunuzi yanatoa zabuni...
Kuhusu bei hiyo kuendelea kushuka ikilinganishwa na Msimu uliopita, Francis amesema CBT kama msimamizi mkuu wa Tasnia wanaendelea kushughulikia mwenendo huo ikiwa ni pamoja na...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amefungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho 2023 leo tarehe 11 Oktoba 2023 katika Ukumbi wa Mikutano ya...
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Ernest Silinde (Mb), amesema kilimo cha korosho sasa kitalimwa katika maeneo ya mikoa mingine kutoka mikoa mitano (5) ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas amewata wadau wote wanaohusika kwenye mnyororo wa thamani wa zao la korosho nchini kussimamia ubora wa zao hilo...
Bodi ya Korosho Tanzania katika kusimamia maendeleo ya Tasnia imeweka malengo makuu matatu ambayo ni: Kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi kufikia tani 1,000,000 ifikapo 2030;...