MKUU WA MKOA WA MTWARA AZINDUA MINADA YA KOROSHO KWA MSIMU WA 2022/2023 LEO TAREHE 21 OKTOBA KWA VYAMA VIKUU VIWILI TANECU NA MAMCU MKOANI MTWARA.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Ahmed Abbas Ahmed alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa minada ya korosho kwa msimu wa 2022/2023. Akihutubia katika halfa hiyo,...