Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas amewata wadau wote wanaohusika kwenye mnyororo wa thamani wa zao la korosho nchini kussimamia ubora wa zao hilo...
Bodi ya Korosho Tanzania katika kusimamia maendeleo ya Tasnia imeweka malengo makuu matatu ambayo ni: Kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi kufikia tani 1,000,000 ifikapo 2030;...