Habari ZinazojiriMAONESHO YA NANENANE 2022-MBEYA Agosti 3, 2022Agosti 3, 20221107 Waziri wa Kilimo Mhe. Hussen Bashe akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Bodi ya Korosho Tanzania katika Maonesho ya Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya katika Viwanja vya John Mwakangale