Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Korosho Tanzania Brig. General Mstaafu ALOYCE MWANJILE(NDC) akiongoza kikao cha nne cha Bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika tarehe 22 Juni,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya korosho mjini Mtwara ambacho pia Mh.Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Ndugu Dunstan Kyobya alipita kusalimia na kutoa pongezi kwa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti kwa uwajibikaji wao katika kukuza na kuendeleza tasnia ya korosho Tanzania.
previous post
next post