Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas amewata wadau wote wanaohusika kwenye mnyororo wa thamani wa zao la korosho nchini kussimamia ubora wa zao hilo...
Bodi ya Korosho Tanzania katika kusimamia maendeleo ya Tasnia imeweka malengo makuu matatu ambayo ni: Kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi kufikia tani 1,000,000 ifikapo 2030;...
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji , wameitembelea Bodi ya Korosho Tanzania kwa ajili ya kujifunza shughuli mbali mbali zinazofanywa ikiwa Pamoja...
Serikali kupitia Bodi ya Korosho imeendelea na jitihada za kumkwamua mkulima wa Korosho ili kuongeza tija na uzalishaji kufikia agenda ya 10/30 ifikapo 2030. Mkakati...