Mnamo tarehe 21 Oktoba 2022 minada ya korosho ilianza rasmi; ambapo minada ilifanyika katika vyama vikuu vya TANECU na MAMCU katika eneo la Mitondi B...
Mafunzo hayo yanalenga kuelekeza matumizi sahihi na salama ya viuatilifu wilayani Biharamulo sambamba na kuwapatia pembejeo za kudhibiti magonjwa na wadudu waharibifu kwenye zao la...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Ahmed Abbas Ahmed alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa minada ya korosho kwa msimu wa 2022/2023. Akihutubia katika halfa hiyo,...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Brig. Gen. (Mstaafu) Aloyce Damian Mwanjile ndc ameongoza kikao cha Bodi ya Wakurugenzi tarehe 19 Oktoba 2022 katika ukumbi wa...
Ujumbe huo umeongozwa na Prof.Peter Massawe ambae pia ni Mjumbe ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania kwa lengo la kujifunza jinsi ya uendelezaji wa...
Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022. Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa...