Ujumbe huo umeongozwa na Prof.Peter Massawe ambae pia ni Mjumbe ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania kwa lengo la kujifunza jinsi ya uendelezaji wa zao la korosho nchini na kubadirishana mbinu na uzoefu katika tasnia hii.
Benin ni miongoni mwa nchi zinazo zalisha korosho kwa wingi Barani Afrika kwa kusaidiwa na wataalam na wabobezi wa zao la korosho toka Nchini Tanzania.