TAARIFA YA UTAFITI KUHUSU HALI YA UZALISHAJI WA KOROSHO NCHINI KWA MSIMU WA 2022/2023
Kikao cha kujadili taarifa ya kitafiti ya kushuka kwa uzalishaji kilichojumuisha watafiti kutoka TARI Naliendele, Wataalamu wa kilimo CBT, wataalamu kutoka Mamlaka ya uthibiti wa...