Kikao cha wadau wa zao la korosho kilichohusisha wataalamu wa kilimo (RAAs,DAICOs),warajisi na Taasisi mbalimbali na Mameneja wa Vya vikuu vya ushirika kutoka Mikoa Mitano(Lindi,Mtwara,Ruvuma,Tanga na Pwani) vinara kwenye uzalishaji korosho,lengo ni kujadili namna ya kuongeza thamani na uzalishaji kutoka tani laki tatu kwa sasa mpaka kufikia tani laki saba ifikapo mwaka 2025.
previous post
next post