MatukioUZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI Agosti 3, 2022Agosti 3, 2022850 Hafla ya uzinduzi wa Baraza la wafanyakazi wa Bodi ya korosho Tanzania iliyofanyika Mjini Mtwara katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa tarehe 23 juni, 2022, Mgeni rasmi Ndugu Renatus Mongogwela-katibu Tawala Msaidizi Utawala,Mtwara.