Category : Matukio
Mh DUNSTAN KYOBA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA BODI YA KOROSHO.
Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022. Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa...
MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGA MAFUNZO YA UDHIBTI UBORA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbasi amefunga mafunzo ya siku tano ya udhibiti ubora wa korosho kwa washiriki 120 yaliyoratibiwa na Bodi ya...
Bodi Ya Wakurugenzi Ya Bodi Ya Korosho Imefanya Vikao Vyake Toka 29.10.2021 Na 30.10.2021
Bodi ya wakurugenzi imeendelea na vikao vyake vya kisheria kufuatilia na kuboresha mambo mbalimbali yanayoihusu bodi ya korosho Tanzania. Vikao hivi vimeongozwa na mwenyekiti wa...
Bodi Ya Korosho Bandarini Mtwara Na Ugeni Toka Zambia
Bodi ya Korosho Bandarini Mtwara na Ugeni toka Zambia ...
Waziri Wa Zambia Jimbo La Magharibi(Katikati) TARI-Mtwara
Waziri wa Zambia Jimbo la magharibi(katikati) TARI-Mtwara...
TBS Yatoa Mafunzo Ya ISO9001 Bodi Ya Korosho Tanzania
TBS yatoa mafunzo Bodi ya korosho Tanzania kwa lengo kuwa Taasisi bora yenye viwango vya juu katika utoaji huduma kwa wateja wake...
PEMBEJEO BILA MALIPO KWA WAKULIMA
Bodi ya korosho Tanzania imezindua zoezi la usambazaji wa pembejeo na Mabomba bila malipo zilizotolewa na Serikali Chini ya Uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluuhu...
UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI
Hafla ya uzinduzi wa Baraza la wafanyakazi wa Bodi ya korosho Tanzania iliyofanyika Mjini Mtwara katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa tarehe 23 juni, 2022,...