Category : Matukio
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg. Francis Alfred Pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI)-Naliendele Dkt Fortunus Kapinga wamepokea ujumbe wa wageni kutoka Nchini Benin leo tarehe 3 Octoba 2022.
Ujumbe huo umeongozwa na Prof.Peter Massawe ambae pia ni Mjumbe ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania kwa lengo la kujifunza jinsi ya uendelezaji wa...
Mh DUNSTAN KYOBA AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZA BODI YA KOROSHO.
Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022. Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa...
MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGA MAFUNZO YA UDHIBTI UBORA
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanal Ahmed Abbasi amefunga mafunzo ya siku tano ya udhibiti ubora wa korosho kwa washiriki 120 yaliyoratibiwa na Bodi ya...
Bodi Ya Wakurugenzi Ya Bodi Ya Korosho Imefanya Vikao Vyake Toka 29.10.2021 Na 30.10.2021
Bodi ya wakurugenzi imeendelea na vikao vyake vya kisheria kufuatilia na kuboresha mambo mbalimbali yanayoihusu bodi ya korosho Tanzania. Vikao hivi vimeongozwa na mwenyekiti wa...
Bodi Ya Korosho Bandarini Mtwara Na Ugeni Toka Zambia
Bodi ya Korosho Bandarini Mtwara na Ugeni toka Zambia ...
Waziri Wa Zambia Jimbo La Magharibi(Katikati) TARI-Mtwara
Waziri wa Zambia Jimbo la magharibi(katikati) TARI-Mtwara...