Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022. Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa...
Kikao cha wadau wa zao la korosho kilichohusisha wataalamu wa kilimo (RAAs,DAICOs),warajisi na Taasisi mbalimbali na Mameneja wa Vya vikuu vya ushirika kutoka Mikoa Mitano(Lindi,Mtwara,Ruvuma,Tanga...
Viuatilifu vya zao la Korosho vimeanza kupokelewa mkoani Mtwara, ambapo kampuni ya Bens agro star imeleta lita 100,000 na Suba agro lita 187,000 kwa ajili...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bodi ya Korosho Tanzania Brig. General Mstaafu ALOYCE MWANJILE(NDC) akiongoza kikao cha nne cha Bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika tarehe 22...
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussen Bashe akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Bodi ya Korosho Tanzania katika Maonesho ya Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya...