Chama cha Ushirika CIAP kutoka nchini Burundi kimefanya ziara ya mafunzo katika ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania Makao Makuu zilizopo Mtwara Mjini tarehe 04/11/2024. Mafunzo hayo yameongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg. Francis Alfred akiwa ameambatana na Kaimu Meneja wa Ubanguaji wa Korosho Ndg. Mangile Malegesi na Kaimu Meneja wa Mipango ya Kilimo Ndg. Juma Yusuph.
previous post