DC MWAIPAYA AIPONGEZA BODI YA KOROSHO TANZANIA KWA USIMAMIZI MZURI WA ZAO LA KOROSHO
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Ndg. Abdallah Mwaipaya amefungua mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo maafisa kilimo waliopangiwa vituo vya kazi Wilaya ya Mtwara ikiwa ni...

