Category : Kitelezi
BODI YA KOROSHO YAZINDUA RASMI MKUTANO WA KIMATAIFA WA KOROSHO 11-13 OCTOBA 2023 JNICC-DAR ES SALAAM
Bodi ya Korosho Tanzania katika kusimamia maendeleo ya Tasnia imeweka malengo makuu matatu ambayo ni: Kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi kufikia tani 1,000,000 ifikapo 2030;...
BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA RUFIJI LATEMBELEA BODI YA KOROSHO MTWARA.
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji , wameitembelea Bodi ya Korosho Tanzania kwa ajili ya kujifunza shughuli mbali mbali zinazofanywa ikiwa Pamoja...
BODI YA KOROSHO YAPOKEA TANI 3,680 YA SULPHUR KUPITIA BANDARI YA MTWARA
Serikali kupitia Bodi ya Korosho imeendelea na jitihada za kumkwamua mkulima wa Korosho ili kuongeza tija na uzalishaji kufikia agenda ya 10/30 ifikapo 2030. Mkakati...

MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Ni katika mwendelezo wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Kilimo,Bodi ya Korosho Tanzania imeendelea na utoaji mafunzo kwa viongozi wa AMCOS zote chini ya...
MKUU WA MKOA WA MTWARA KANALI AHMED ABBAS AHMED AZINDUA RASMI KOROSHO MARATHON MSIMU WA PILI 2023
Mkuu wa Mkuu wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed azindua rasmi mbio za Korosho Marathon kwa msimu wa pili wa 2023 ikiwa ni mwendelezo wa...