Wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kilimo Mtwara wakiwa katika ziara ya masomo ya nadharia Bodi ya Korosho Tanzania,lengo la ziara hiyo ni kujifunza namna...
Bodi ya korosho Tanzania kwa kushirikiana na Mamlaka ya serikali za Mtaa imefanya mafunzo ya matumizi ya vifaa vya kielektroniki tarehe 10 Januari 2023 kwaajili...
Katika kuhakikisha Serikali inafikia lengo la kuongeza uzalishaji wa korosho ghafi nchini kufikia tani 700,000 ifikapo mwaka 2025/2026. Ili kufikia lengo hilo Serikali haina budi...
KILA MKULIMA WA KOROSHO ATAPASWA KUHAKIKISHA KUWA ANASAJILIWA. MKULIMA AMBAYE HATASAJILIWA HATOPATIWA PEMBEJEO KATIKA MSIMU UJAO.Mara baada ya usajili mfumo utatoa namba maalumu (unique number)...
Bodi ya korosho Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imeendelea na juhudi za kuhakikisha wakulima wanafaidika na za zao hili katika maeneo yao hususani...