Habari ZinazojiriMatukioUGAWAJI WA PIKIPIKI KWA MAAFISA UGANI-LINDI Septemba 23, 2022Septemba 23, 20221187 Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Brigedia Jenerali mstaafu Aloyce Mwanjile ameeleza sababu zilizoisukuma taasisi kutoa pikipiki 96 Kwa maafisa ugani huku akieleza lengo kuu ni kuwafikia wakulima wengi nchini ili waweze kutimiza maagizo ya ilani ya chama cha mapinduzi la kufikisha tani laki Saba (700,000) kufikia 2025/26