Bodi Ya Wakurugenzi Ya Bodi Ya Korosho Imefanya Vikao Vyake Toka 29.10.2021 Na 30.10.2021
988
Bodi ya wakurugenzi imeendelea na vikao vyake vya kisheria kufuatilia na kuboresha mambo mbalimbali yanayoihusu bodi ya korosho Tanzania. Vikao hivi vimeongozwa na mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Brigedia General Mstaafu Aloyce D mwanjile.