SERIKALI KUENDELEA KUTOA RUZUKU ZA PEMBEJEO BUREE KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Waziri wa kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema kuwa serikali itaendelea kutoa ruzuku za pembejeo kwa wakulima wa korosho nchini buree. Bashe ameyasema hayo alipokuwa akizungumza...

