Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi la Bodi ya Korosho Ndg.Francis Alfred ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania akiongoza kikao cha...
Elimu ya kujikinga na kupambana na virusi vya ukimwi (HIV) kazini yakitolewa na Dr Mbelenje katika ukumbi wa Bandari Mtwara tarehe 15 desemba, 2022 kutoka...
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Mtwara Ndugu. Enock Ngailo akitoa Elimu ya masuala ya rushwa kwa watumishi wa Bodi ya korosho Tanzania,mafunzo hayo yalijikita katika...
Chama kikuu cha ushirika wilaya Tandahimba na Newala (TANECU) tarehe 2 Desemba 2022, kimeuza korosho zote zilizopelekwa mnadani kwa bei ya chini ya Shilingi 1930...