Oktoba 6, 2025 05:13
Bodi ya Korosho Tanzania
Habari ZinazojiriKiteleziMatukio

TANECU WAUZA KOROSHO ZOTE KILO 3,666,570 DESEMBA 2,2022

Chama kikuu cha ushirika wilaya Tandahimba na Newala (TANECU) tarehe 2 Desemba 2022, kimeuza korosho zote zilizopelekwa mnadani kwa bei ya chini ya Shilingi 1930 na Bei ya juu ya Shilingi 1990.

Korosho zilipelekwa mnadani zilikua kilo 3,666,570 zote zikiwa na ubora wa daraja la kwanza (SOT 51-52),uhitaji wa soko kwa wanunuzi ulikua  kilo 7,305,000 kati ya wanunuzi 19 waliohudhuria mnada huo na kufanya korosho zote zilizoletwa sokoni kununuliwa kwa bei kati ya Shilingi 1930 mpaka Shilingi 1990

Related posts

ELIMU YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA UKIMWI KWA WAFANYAKZI WA BODI YA KOROSHO

Peter Luambano

HALI YA SOKO LA KOROSHO GHAFI KWA MWAKA 2022/2023

Peter Luambano

TIMU YA WAKAGUZI YAKAMILISHA KAZI CBT

Amani Ngoleligwe