Novemba 18, 2025 01:16
Bodi ya Korosho Tanzania
Habari ZinazojiriMatukio

UGAWAJI WA PIKIPIKI KWA MAAFISA UGANI-LINDI

Mwenyekiti wa Bodi ya korosho Tanzania Brigedia Jenerali mstaafu Aloyce Mwanjile ameeleza sababu zilizoisukuma taasisi kutoa pikipiki 96 Kwa maafisa ugani huku akieleza lengo kuu ni kuwafikia wakulima wengi nchini ili waweze kutimiza maagizo ya ilani ya chama cha mapinduzi la kufikisha tani laki Saba (700,000) kufikia 2025/26

Related posts

TANGAZO LA MKUTANO WA 19 WA ACA 2025

Amani Ngoleligwe

WADAU WA KOROSHO WAKUTANA KUPITIA MIONGOZO KWA MSIMU WA 2025/2026

Amani Ngoleligwe

NHIF YATOA ELIMU YA MATUMIZI YA BIMA KWA WATUMISHI CBT

Amani Ngoleligwe