Oktoba 23, 2025 06:56
Bodi ya Korosho Tanzania
Habari ZinazojiriKitelezi

MIKAKATI YA UONGEZAJI THAMANI NA UZALISHAJI WA ZAO LA KOROSHO TANZANIA

Kikao cha wadau wa zao la korosho kilichohusisha wataalamu wa kilimo (RAAs,DAICOs),warajisi na Taasisi mbalimbali na  Mameneja wa Vya vikuu vya ushirika kutoka Mikoa Mitano(Lindi,Mtwara,Ruvuma,Tanga na Pwani) vinara kwenye uzalishaji korosho,lengo ni kujadili namna ya kuongeza thamani na uzalishaji kutoka tani laki tatu kwa sasa mpaka kufikia tani laki saba ifikapo mwaka 2025.

Related posts

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA BODI YA KOROSHO TANZANIA

Peter Luambano

BODI YA KOROSHO YATOA MASHINE ZA UBANGUAJI KOROSHO

Amani Ngoleligwe

UGAWAJI WA PIKIPIKI KWA MAAFISA UGANI-LINDI

Peter Luambano