Katika ziara hiyo,Mh Kyoba amefanya kikao na watumishi wote waliopo Bodi leo tarehe 30 Sept,2022.
Ameipongeza Bodi kwa utendaji mzuri kwa msimu uliopita na kutoa ushauri kuongeza ufanisi zaidi katika utendaji ili kuondoa malalamiko na kero zinazoikabili tasnia ya Korosho Nchini.