TANECU WAUZA KOROSHO KWA BEI YA JUU TSH. 3760/= NA BEI YA CHINI TSH.3540/=, UBORA WASISITIZWA.
Katika kuhakikisha wakulima wa zao la korosho wanazidi kunufaika na kilimo chao kupitia minada inayoendelea, bodi ya korosho Tanzania imewataka wakulima hao kusimamia ubora wa...