RUZIKA N. MUHETO mtaalam wa mazingira na hewa ya ukaa akiwasilisha mada yenye kuelezea umuhimu wa zao la Korosho katika utunzaji mazingira lakini pia ni...
Korosho iliyoletwa kwa Mnada – kilo 7,752,741 Ubora wa Korosho inayoletwa kwa Mnada SOT 52-52.6(Daraja la Kawaida) Mahitaji ya Korosho kulingana na wanunuzi yanatoa zabuni...
Korosho iliyoletwa kwa Mnada – 1,889,047kg Ubora wa Korosho inayoletwa kwa Mnada SOT 49.3-50.4(Daraja la Kawaida- 1,889,047kg) Mahitaji ya Korosho kulingana na wanunuzi yanatoa zabuni...
Kuhusu bei hiyo kuendelea kushuka ikilinganishwa na Msimu uliopita, Francis amesema CBT kama msimamizi mkuu wa Tasnia wanaendelea kushughulikia mwenendo huo ikiwa ni pamoja na...