Author : Peter Luambano
MKUU WA MKOA WA MTWARA KANALI AHMED ABBAS AHMED AZINDUA RASMI KOROSHO MARATHON MSIMU WA PILI 2023
Mkuu wa Mkuu wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed azindua rasmi mbio za Korosho Marathon kwa msimu wa pili wa 2023 ikiwa ni mwendelezo wa...
KOROSHO QUEENS YAPATA UFADHILI WA VIFAA VYA MICHEZO
Bodi ya korosho imekabidhi vifaa vya michezo ikiwemo Mipira,Viatu na Sare kwa timu ya mpira ya KOROSHO QUEENS siku ya tarehe 11/05/2023 katika ukumbi wa...
WAAGIZAJI WA PEMBEJEO WAONYWA KUFANYA UDANGANYIFU
Akizungumza katika kikao cha tathmini ya uzalishaji, ubanguaji na masoko ya Korosho kwa msimu wa 2022/2023 kilichofanyika ukumbi wa PSSSF Jijini Dodoma, 24 April 2023,...
WAZIRI WA KILIMO MHE.HUSSEIN BASHE (MB) ASISITIZA ZOEZI LA USAJILI WA WAKULIMA WA KOROSHO NCHINI
Akizungumza katika kikao cha tathmini kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 24 April 2023, Mhe. Bashe amesisitiza usajili wa Wakulima kupitia kanzi data ya Wakulima Nchi nzima...
MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UGAWAJI WA PEMBEJEO KWA MSIMU WA 2023/2024
Timu ya watalaam wa TEHAMA kutoka BIZY TECH kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho ikiongozwa na mjumbe wa kamati ya Pembejeo Ndug. Andambike Mwakilema imefanya...
BODI YA KOROSHO YATOA JEZI ZA MICHEZO KWA JESHI LA ZIMAMOTO TANZANIA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg.Reuben Putaputa amekabidhi Jezi za Mpira wa Miguu pamoja na Mipira kwa Jeshi la Zimamoto Tanzania Mkoani...
BODI YA KOROSHO NA TARI WAFANYA KIKAO CHA PAMOJA
Bodi ya Korosho (CBT) na kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanzania-Naliendele (TARI) wamekutana na kufanya kikao cha pamoja katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya...