Oktoba 14, 2025 10:38
Bodi ya Korosho Tanzania
Habari Zinazojiri

MAONESHO YA NANENANE 2022-MBEYA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussen Bashe akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Banda la Bodi ya Korosho Tanzania katika Maonesho ya Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Mbeya katika Viwanja vya John Mwakangale

Related posts

WAKULIMA WA KOROSHO WAKUMBUSHWA KUHUISHA TAARIFA ZA MASHAMBA YAO.

Amani Ngoleligwe

VIJANA NA WANAWAKE WAHIMIZWA KUJIHUSISHA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA KOROSHO

Amani Ngoleligwe

Kikao cha 12 cha Bodi ya Wakurugenzi

Peter Luambano