Novemba 4, 2025 02:26
Bodi ya Korosho Tanzania
Matukio

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg. Francis Alfred Pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI)-Naliendele Dkt Fortunus Kapinga wamepokea ujumbe wa wageni kutoka Nchini Benin leo tarehe 3 Octoba 2022.

Ujumbe huo  umeongozwa na Prof.Peter Massawe ambae pia ni Mjumbe ya Wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania kwa lengo la kujifunza jinsi ya uendelezaji wa zao la korosho nchini na kubadirishana mbinu na uzoefu katika tasnia hii.

Benin ni miongoni mwa nchi zinazo zalisha korosho kwa wingi Barani Afrika kwa kusaidiwa na wataalam na wabobezi wa zao la korosho toka Nchini Tanzania.

MAKAO MAKUU YA BODI-MTWARA

Related posts

HALI YA SOKO LA KOROSHO GHAFI KWA MWAKA 2022/2023

Peter Luambano

UHUISHAJI TAARIFA ZA WAKULIMA WA KOROSHO WAENDELEA KWA UFANISI MKUBWA MSIMU WA 2024/2025

Amani Ngoleligwe

KIKAO NA MTANDAO WA WAKULIMA WA KOROSHO TANZANIA

Amani Ngoleligwe