Zoezi la uhuishaji wa taarifa za wakulima wa zao la korosho linaendelea kwa mafanikio makubwa katika ofisi za vijiji yalipo mashamba ya wakulima likiwa chini...
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe. Kanali Michael Mtenjele, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala, amezindua ugawaji pikipiki 500...
Meli iliyobeba zaidi ya tani 9202 kati ya tani zaidi ya 40,000 za salfa zinazotarajiwa kuwafikia wakulima wa korosho katika msimu wa 2025/26 imewasili katika...
Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani machi 8, 2025 wakulima wa zao la korosho wamekumbushwa kwenda kuhuisha taarifa za mashamba Yao katika ofisi za watendaji...
Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania wamepanga mikakati ya kulitumia ipasavyo soko la Korosho...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omari ameitaka Bodi ya KoroshoTanzania kukaribisha wawekezaji katika kongani la viwanda lililopo katika Kijiji cha...
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amezindua Miradi itakayosaidia kuleta zaidi mageuzi katika Sekta ya Kilimo, inayofahamika kama SAGCOT: Support to SAGGOT Centre...