Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani machi 8, 2025 wakulima wa zao la korosho wamekumbushwa kwenda kuhuisha taarifa za mashamba Yao katika ofisi za watendaji...
Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania wamepanga mikakati ya kulitumia ipasavyo soko la Korosho...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Dkt. Hussein Mohamed Omari ameitaka Bodi ya KoroshoTanzania kukaribisha wawekezaji katika kongani la viwanda lililopo katika Kijiji cha...
Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amezindua Miradi itakayosaidia kuleta zaidi mageuzi katika Sekta ya Kilimo, inayofahamika kama SAGCOT: Support to SAGGOT Centre...
Maafisa Ugani Kilimo walioajiriwa na Bodi ya Korosho Tanzania kupitia program ya BBT Korosho waliopo Mtwara – Makao Makuu ikiwa ni moja kati ya vituo...
Mkuu wa wilaya ya Mtwara Ndg. Abdallah Mwaipaya amefungua mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo maafisa kilimo waliopangiwa vituo vya kazi Wilaya ya Mtwara ikiwa ni...
Bodi ya Korosho Tanzania imetekeleza programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (BBT) iliyopo Wizara ya Kilimo katika zao la korosho kwa kuwapatia mafunzo elekezi vijana...