WAKULIMA MNOLELA: TANGU TUANZE KUPOKEA PEMBEJEO ZA RUZUKU MAMBO YANAKWENDA VIZURI SANA
Wakati zoezi la ugawaji pembejeo za ruzuku katika zao la korosho likiendelea katika mikoa mbalimbali inayolima zao hilo nchini, wakulima wa kata ya Mnolela mkoani...