Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ndg. Francis Alfred, leo oktoba 28/2025 amekutana na watumishi wote wa bodi hiyo katika ukumbi wa mikutano...
Wataalam kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) septemba 10/2025, wametembelea ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) ili kutoa elimu ya matumizi...
Balozi wa Urusi nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan ametembelea Ofisi za Bodi ya Korosho Tanzania pamoja na eneo la kongani la viwanda lililopo katika Kijiji...
Waziri wa kilimo Mhe. Hussein Bashe amewataka wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania katika kusimamia vema Tasnia ya Korosho ikiwa ni Pamoja...