Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Benki ya Ushirika (Coop Bank Tanzania), lengo likiwa ni kufufua benki za kijamii zilizofilisika nchini. Akizungumza na Waandishi...
Imeelezwa kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani, unaotumiwa na wakulima wa zao la korosho, mbaazi na ufuta nchini ni wenye tija na unalenga kumnufaisha mkulima na...
Bodi ya wakurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania iliyoteuliwa hivi karibuni ikiongozwa na Mwenyekiti Brig. Gen. (Mstaafu) Aloyce D. Mwanjile ndc imefanya kikao chake cha...
Mkuu wa mkoa wa Lindi Mhe. Zainabu Telack amezindua ugawaji wa vitendea kazi ambavyo ni pikipiki 152 na vishikwambi 152 kwa maafisa kilimo walioajiriwa na...
Zoezi la uhuishaji wa taarifa za wakulima wa zao la korosho linaendelea kwa mafanikio makubwa katika ofisi za vijiji yalipo mashamba ya wakulima likiwa chini...
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe. Kanali Michael Mtenjele, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Kanali Patrick Sawala, amezindua ugawaji pikipiki 500...
Meli iliyobeba zaidi ya tani 9202 kati ya tani zaidi ya 40,000 za salfa zinazotarajiwa kuwafikia wakulima wa korosho katika msimu wa 2025/26 imewasili katika...
Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani machi 8, 2025 wakulima wa zao la korosho wamekumbushwa kwenda kuhuisha taarifa za mashamba Yao katika ofisi za watendaji...
Ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania wamepanga mikakati ya kulitumia ipasavyo soko la Korosho...