Juni 21, 2026 03:50
Bodi ya Korosho Tanzania
Habari ZinazojiriKiteleziMatukio

ELIMU YA MAZINGIRA NA HEWA YA UKAA KWA BODI YA WAKURUGENZI

RUZIKA N. MUHETO mtaalam wa  mazingira na hewa ya ukaa akiwasilisha mada yenye kuelezea umuhimu wa zao la Korosho katika utunzaji mazingira lakini pia ni namna gani zao hili lilivyo muhimu katika kukuza uchumi wa Nchi kotokana na uwezo wa kutoa hewa ya ukaa kwa wingi ambayo ni biashara mpya kwa sasa itakayowafanya wakulima wa zao hili kunufaika mbali na uzalishaji wa Korosho.

Ruzika amewasilisha mada hii leo tarehe 14 Novemba mbele ya Bodi ya Wakuruegnzi na Menejimenti ya Bodi ya Korosho Tanzania katika ukumbi wa mikutano wa Bodi ya Korosho-Mtwara.

Related posts

TBS Yatoa Mafunzo Ya ISO9001 Bodi Ya Korosho Tanzania

Fesam

WAKULIMA WA KOROSHO WAKUMBUSHWA KUHUISHA TAARIFA ZA MASHAMBA YAO.

Amani Ngoleligwe

SALES CATALOGUE – AGROFOCUS NEWALA

Peter Luambano